Kati ya sanaa na harakati: Vitali Maembe ajiuzulu ACT-Wazalendo na kulaani ukandamizaji
Msanii na mwanaharakati wa umma wa Kitanzania, Vitali Maembe, ametangaza rasmi kujiondoa kwenye siasa za vyama pamoja na nafasi yake ndani ya chama cha ACT-Wazalendo. Katika tamko la umma, alisema…
